2 Samuel 12:30
30 aAkachukua taji kutoka kwa kichwa cha mfalme wao, lililokuwa na uzito wa talanta moja ya dhahabu, ▼▼Talanta moja ya dhahabu ni sawa na kilo 34.
 nayo ilizungushiwa vito vya thamani. Ikawekwa juu ya kichwa cha Daudi. Alichukua nyara nyingi kutoka mjini huo.  
    Copyright information for
    SwhNEN
 
