2 Samuel 16:5
Shimei Amlaani Daudi
  5  aMfalme Daudi alipokuwa anakaribia Bahurimu, mtu mmoja kutoka ukoo huo huo kama jamaa ya Sauli, akatoka humo, ambaye jina lake ni Shimei mwana wa Gera; akawa analaani alipokuwa akitoka.  
    Copyright information for
    
SwhNEN