Ezekiel 29:6-7
 6  aNdipo wale wote waishio Misri watakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.
 “ ‘Umekuwa fimbo ya tete kwa nyumba ya Israeli.  7 bWalipokushika kwa mikono yao, ulivunjika na kuchana mabega yao; walipokuegemea, ulivunjika na migongo yao ikateguka. 
 
    Copyright information for
    
SwhNEN