Ezra 2:1-10
Orodha Ya Watu Waliorudi Kutoka Uhamishoni
(Nehemia 7:4-73)
1 aBasi hawa ndio watu wa jimbo waliotoka uhamishoni, ambao Nebukadneza mfalme wa Babeli alikuwa amewachukua mateka hadi Babeli (walirudi Yerusalemu na Yuda, kila mmoja kwenye mji wake,2 ▼
 
Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa:
  
▼In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
                                ,
                             cwakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana):Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa:
| 3 dwazao wa Paroshi | 2,172 | 
| 4wazao wa Shefatia | 372 | 
| 5 ewazao wa Ara | 775 | 
| 6wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) | 2,812 | 
| 7wazao wa Elamu | 1,254 | 
| 8wazao wa Zatu | 945 | 
| 9wazao wa Zakai | 760 | 
| 10wazao wa Bani | 642 | 
| 11wazao wa Bebai | 623 | 
| 12wazao wa Azgadi | 1,222 | 
| 13 fwazao wa Adonikamu | 666 | 
| 14wazao wa Bigwai | 2,056 | 
| 15wazao wa Adini | 454 | 
| 16wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) | 98 | 
| 17wazao wa Besai | 323 | 
| 18wazao wa Yora | 112 | 
| 19wazao wa Hashumu | 223 | 
| 20 gwazao wa Gibari | 95 | 
    Copyright information for
    SwhNEN
 
