Jeremiah 14:19
  19  aJe, umemkataa Yuda kabisa?
 Umemchukia Sayuni kabisa?
 Kwa nini umetuumiza
 hata hatuwezi kuponyeka?
 Tulitarajia amani,
 lakini hakuna jema lililotujia;
 tulitarajia wakati wa kupona
 lakini kuna hofu kuu tu.
 
    Copyright information for
    
SwhNEN