Psalms 33:9-11
 9  aKwa maana Mungu alisema, na ikawa,
 aliamuru na ikasimama imara.
  10  b Bwana huzuia mipango ya mataifa,
 hupinga makusudi ya mataifa.
  11  cLakini mipango ya Bwana inasimama imara milele,
 makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote.
 
    Copyright information for
    
SwhNEN