Revelation of John 6:1
Mwana-Kondoo Avunja Lakiri Saba
  1  aKisha nikaangalia wakati Mwana-Kondoo akivunja ile lakiri ya kwanza miongoni mwa zile saba. Ndipo nikasikia mmoja wa wale viumbe wanne wenye uhai akisema kwa sauti kama ya radi: “Njoo!”  
    Copyright information for
    
SwhNEN